Friday, February 14, 2014

KUMALIZIKA KWA MITIHANI YA JAN/FEB 2014!

Leo ndio siku ya mwisho ya kufanyika kwa mitihani ya Jan/Feb 2014. Tunamshukuru Mungu kwa kukamilisha zoezi hili kwa usalama. Tunawatakia wanachuo wote maandalizi mema ya shughuli zijazo za kitaaluma ikiwemo Field/Teaching Practice na Face to Face.
Ahsanteni.

Friday, February 7, 2014

HII NDIO BUNGUABONGO - OUT TANGA - JAN/FEB 2014!

Hii ni wiki ya pili ya mitihani katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kituo cha Tanga. Imebakia wiki moja tu kabla ya zoezi hili kukamilika. Shuhudia jinsi wanachuo walivyo makini kutengeneza GPA zao!