Friday, November 16, 2012





Chuo kikuu huria cha Tanzania kimeadhimisha miaka 20 ya chuo kwa kutoa msaada wa mashuka 20 katika hospitali ya Bombo-Tanga tarehe 16/11/2012 pamoja na katoni 5 za maji.

No comments:

Post a Comment