Heri ya mwaka mpya 2014.
Tunapenda kuwakumbusha wanafunzi wote mliojisajili kufanya mitihani ya Janary/February 2014 kuleta Examination Hall Tickets (EHT) zenu ofisini ili zisainiwe, kwani hautaruhusiwa kufanya mtihani endapo EHT yako haijasainiwa na walimu.
Hivyo, ili kuepuka usumbufu, hakikisha kuwa unasainiwa EHT yako kabla ya kuanza kwa mitihani tarehe 27 January 2014.
Tunakutakia maandalizi mema ya mitihani.
No comments:
Post a Comment