uongozi wa chuo kikuu huria cha Tanzani kituo cha Tanga unapenda kuwaalika wakazi wa Mkoa wa Tanga kujiunga na chuo kikuu huria cha Tanzania kwa mwaka wa masomo 2016/2017.Chuo kinatoa kozi mbalimbali katika ngazi za cheti,stashahada,shahada ya kwanza,shahada ya uzamili na uzamivu.kwa maelezo zaidi fika katika ofisi zetu zilizopo Tanga mjini eneo la chumbageni kwenye jengo la TUCTA karibu na ofisi za misitu
No comments:
Post a Comment