Tuesday, February 23, 2016

TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE

Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wote wa OUT-Tanga kufika kituoni kuchukua vitambulisho vyao, na hii ni kwa wale ambao walileta picha zao .Pia kwa wale ambao hawakuleta passport size zao walete kwaajiri ya kutengenezewa vitambulisho vyao

No comments:

Post a Comment