Wednesday, February 10, 2016

MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

uongozi  wa chuo kikuu huria cha Tanzani kituo  cha  Tanga unapenda kuwaalika wakazi wa Mkoa wa Tanga kujiunga na chuo kikuu huria cha Tanzania kwa mwaka wa masomo 2016/2017.Chuo kinatoa kozi  mbalimbali katika ngazi za cheti,stashahada,shahada ya kwanza,shahada ya uzamili na uzamivu.kwa maelezo zaidi fika katika ofisi zetu zilizopo Tanga mjini eneo la chumbageni  kwenye jengo la  TUCTA karibu na ofisi za misitu

No comments:

Post a Comment